Waoratori
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Waoratori ni mapadri na mabruda wa Kanisa Katoliki wanaoishi pamoja kijumuia kwa kufungwa na upendo, bila ya nadhiri.
Shirika hilo lilianzishwa na Filipo Neri (1515–1595) mjini Roma. Leo lina nyumba zaidi ya 70 ulimwenguni kote, zikiwa na mapadri 500 hivi.[1]
Yaliyomo |
[hariri] Watakatifu wa shirika
- Filipo Neri (1515-1595). Alitangazwa tarehe 12 Machi 1622. Sikukuu yake ni tarehe 26 Mei.
- Fransisko wa Sales (1567–1622). Alitangazwa tarehe 8 Aprili 1665. Sikukuu yake ni tarehe 24 Januari.
- Luigi Scrosoppi (1804–1884). Alitangazwa tarehe 10 Juni 2001. Sikukuu yake ni tarehe 5 Oktoba.
[hariri] Wenye heri wa shirika
- Giovenale Ancina (1545–1604). Alitangazwa tarehe 9 Februari 1890. Sikukuu yake ni tarehe 30 Agosti.
- Antonio Grassi (1592–1671). Alitangazwa tarehe 30 Septemba 1900. Sikukuu yake ni tarehe 15 December.
- Sebastian Valfrè (1629–1710). Alitangazwa tarehe 31 Agosti 1834. Sikukuu yake ni tarehe 30 January.
- Joseph Vaz (1651–1711). Alitangazwa tarehe 21 Juni 1995. Sikukuu yake ni tarehe 16 Januari.
- John Henry Newman (1801–1890). Alitangazwa tarehe 19 Septemba 2010. Sikukuu yake ni tarehe 9 Oktoba.
[hariri] Tanbihi
[hariri] Viungo vya nje
- Oratory of Saint Philip Neri - General Procura (Rome)
- Oratory of St. Philip Neri - Mexican Federation
- Oratory of St. Philip Neri - German Federation
- Oratory of Saint Philip Neri (Toronto)
- London (Brompton) Oratory
- Birmingham Oratory
- The Cause for the Canonisation of John Henry Cardinal Newman
- New Brunswick (NJ) Oratory
- Oxford Oratory
- Pittsburgh Oratory
- Rock Hill Oratory
- St. Philip Neri House (Kalamazoo)
- Catholic Encyclopedia Entry
- Philadelphia Oratory
- Brooklyn Oratory
- The Chicago Oratorian Community - USA
- The Poznań Oratorian Community - Poland
- Port Elizabeth Oratory - South Africa
| Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |
