Mwanga
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mwanga inaweza kumaanisha
-
- Mwanga (mji) ni miongoni mwa wilaya za mkoa wa Kilimanjaro ambayo ni ya pili kwa ukubwa ikitanguliwa na wilaya ya Same. Nusu ya wilaya hii ni tambarare ambapo wakazi wake ni kabila la Wapare. Inapatikana Kaskazini mwa Same na Kusini mwa wilaya ya Moshi Vijijini. Bwawa la Nyumba ya Mungu linalozalisha umeme linapatikana wilayani Mwanga. Ni moja ya wilaya zenye mafanikio makubwa katika sekta ya elimu nchini. Tangu mwaka 1995 hadi 2012 wilaya ya Mwanga imekuwa ikishika nafasi ya kwanza au ya pili kati ya wilaya saba za mkoa wa Kilimanjaro.
Wilaya nyingine za mkoa wa Kilimanjaro ni Same, Moshi Mjini, Moshi Vijijini, Hai, Rombo na Siha.
-
- Wilaya ya Mwanga katika Mkoa wa Kilimanjaro
- Mwanga (Iramba) - kata ya wilaya ya Iramba, Tanzania