Mwanga (mji)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Jiji ya Mwanga
Nchi Tanzania
Mkoa Kilimanjaro
Wilaya Mwanga
Idadi ya wakazi
 - Mji 12,404

Kwa matumizi mengine ya jina hili tazama hapa

Mwanga ni mji mdogo na makao makuu ya Wilaya ya Mwanga katika Mkoa wa Kilimanjaro, Tanzania. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2002, kata ina wakazi wapatao 12,404 waishio humo.[1]

Mwanga uko kwenye barabara kuu takriban kati ya Moshi na Same mguuni pa milima ya Pare kaskazini.

Marejeo [hariri]

  1. Ripoti Kuu ya Hesabu ya Sensa ya Watu na Makazi kwa Mwaka wa 2002 (en). Serikali ya Tanzania.
Flag of Tanzania.svg Kata za Wilaya ya Mwanga - Mkoa wa Kilimanjaro - Tanzania Flag of Tanzania.svg

Chomvu | Jipe | Kifula | Kighare | Kilomeni | Kirongwe | Kirya | Kwakoa | Lang'ata | Lembeni | Msangeni | Mwanga (mji) | Mwaniko | Ngujini | Shigatini | Kileo


Flag-map of Tanzania.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Kilimanjaro bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mwanga (mji) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.