Mkoa wa Kilimanjaro

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Mkoa wa Kilimanjaro
Nembo ya Tanzania
Nembo ya Tanzania
Mahali pa Mkoa wa Kilimanjaro katika nchi ya Tanzania
Mahali pa Mkoa wa Kilimanjaro katika nchi ya Tanzania
Anwani ya kijiografia: 3°20′S 37°20′E / 3.333°S 37.333°E / -3.333; 37.333
Nchi Tanzania
Wilaya 7
Mji mkuu Moshi
Serikali
 - Mkuu wa Mkoa Mizengo Pinda
Eneo
 - Mkoa 13,209 km²
Idadi ya wakazi (2002)
 - 1,376,702
Tovuti: http://www.kilimanjaro.go.tz/

Mkoa wa Kilimanjaro ni kati ya mikoa 26 za Tanzania. Makao makuu ya mkoa huu ni Moshi. Mlima wa Kilimanjaro, mlima mkubwa kupita yote barani Afrika umo ndani ya mkoa wa Kilimanjaro. Jina la mlima huu ndio limeupatia mkoa huu jina lake.

Mkoa wa Kilimanjaro umepakana na Kenya upande wa kaskazini, Mkoa wa Tanga upande wa Kusini na mikoa ya Manyara na Arusha upande wa magharibi.

Kilimajaro kuna wakazi wapatao 1,381,149 (sensa ya mwaka 2002). [1]. Makabila makubwa mkoani humo ni Wachagga na Wapare ambapo pia kuna makabila mengine madogo madogo kamaWamasai na wakamba

Wilaya[hariri | hariri chanzo]

Mkoa wa Kilimanjaro una wilaya 7 ambazo ni: Hai, Moshi, Mwanga, Siha, Rombo na Same.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]


 
Mikoa ya Tanzania
Bandera Tanzania
Arusha | Dar es Salaam | Dodoma | Geita | Iringa | Kagera | Katavi | Kigoma | Kilimanjaro | Lindi | Manyara | Mara | Mbeya | Morogoro | Mtwara | Mwanza | Njombe | Pemba Kaskazini | Pemba Kusini | Pwani | Rukwa | Ruvuma | Shinyanga | Simiyu | Singida | Tabora | Tanga | Unguja Kaskazini | Unguja Kusini | Unguja Mjini Magharibi
Flag-map of Tanzania.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Kilimanjaro bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Kilimanjaro kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Mkoa umepata wilaya mpya inaitwa SIHA