Wilaya ya Mwanga
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mahali pa Mwanga (kijani) katika mkoa wa Kilimanjaro.
Wilaya ya Mwanga ni wilaya moja ya Mkoa wa Kilimanjaro nchini Tanzania. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 115,620 [1].
Marejeo [hariri]
| Kata za Wilaya ya Mwanga - Mkoa wa Kilimanjaro - Tanzania | ||
|---|---|---|
|
Chomvu | Jipe | Kifula | Kighare | Kilomeni | Kirongwe | Kirya | Kwakoa | Lang'ata | Lembeni | Msangeni | Mwanga (mji) | Mwaniko | Ngujini | Shigatini | Kileo |
||
| Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Kilimanjaro bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Mwanga kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |