Papa Innocent IV
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Innocent IV (kati ya 1180 na 1190 – 7 Desemba 1254) alikuwa papa kuanzia 28 Juni 1243 hadi kifo chake. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Sinibaldo Fieschi.
Alimfuata Papa Celestino IV akafuatwa na Papa Alexander IV.
Viungo vya nje [hariri]
Kuhusu Papa Innocent IV katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki
| Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Innocent IV kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |