Papa Celestino V

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Papa Celestino V

Papa Celestino V (121519 Mei, 1296) alikuwa papa kuanzia 7 Julai, 1294 hadi 13 Desemba, 1294. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Pietro Angelerio. Alimfuata Papa Nikolasi IV. Alijiuzulu ili kuishi maisha ya kipweke. Lakini alifungwa na Papa Boniface VIII aliyemfuata. Baada yake hakuna papa tena aliyechagua jina la Celestino.

[hariri] Viungo vya nje

Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Pope.svg Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Celestino V kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine