David Archuleta

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
David Archuleta
David Archuleta mnamo Agosti 2010
David Archuleta mnamo Agosti 2010
Maelezo ya awali
Jina la kuzaliwa David James Archuleta
Amezaliwa 28 Desemba 1990 (1990-12-28) (umri 33)[1]
Miami, Florida, Marekani
Asili yake Murray, Utah, Marekani
Aina ya muziki Pop, R&B
Kazi yake Mwimbaji,Mtunzi wa nyimbo, mwanafunzi
Ala Masauti, piano, kinanda, gitaa
Aina ya sauti Tenor[2][3]
Miaka ya kazi 2003–mpaka leo
Studio Jive[4]
Tovuti www.DavidArchuleta.com

David James Archuleta (amezaliwa tar. 28 Desemba 1990) ni mwimbaji na mtunzi wa nyimbo kutoka nchini Marekani. Akiwa na umri wa miaka kumi, amepata kushinda kwenye mashindano ya kutafuta watoto wenye vipaji vya Utah Talent Competition na kuongoza kuimba kwenye mionekano mingine ya vipindi vya televisiheni. Akiwa na umri wa miaka kumi na miwili, akapata kuwa Msindi Mdogo wa Kuimba kwenye Star Search 2.[5] Mnamo mwaka wa 2007, akiwa na umri wa miaka kumi na sita, amesailiwa na kuwa mmoja kati ya waliofika fainali akiwa bwana mdogo sana kwenyue msimu wa saba wa kumtafuta mkali wa American Idol. Mnamo mwezi wa Mei 2008 amemaliza akiwa kama mgombea, na kupokea asilimia 44 za kura zaidi ya milioni 97.

Mnamo mwezi wa Agosti 2008 Archuleta ametoa kibao chake kiitwacho "Crush", kibao cha kwanza kutoka kwenye albamu yake ya kwanza-yenye-jina-sawa-na-lake.[5][6][7][8] Albamu ilikuwa kutolewa miezi miwili baadaye, na kufika moja kwa moja nafasu ya pili kwenye chati za Billboard 200; na kwa mwezi wa Juni 2009, imeuza zaidi ya kopi 725,000 nchini Marekani na zaidi ya 900,000 kwa hesabu ya Dunia nzima.[9][10]

Wasifu[hariri | hariri chanzo]

Maisha ya awali[hariri | hariri chanzo]

Archuleta alizaliwa mjini Miami, Florida, na bwana Jeff Archuleta na Lupe Marie, mwimbaji na mnenguaji wa muziki wa chalanga. Anazungumza Kihispania.[11] Mama yake Archuleta anatokea Honduras, ilhali baba yake ana asili ya Kihispania, Kidemark, Kiayalandi, Kijerumani, na Iroquois.[12] Archuleta has four siblings.[13] Familia ya Archuleta ilihamia Salt Lake Valley, kwenye mji wa Sandy, Utah, wakati Archuleta akiwa na umri wa miaka sita. Yeye ni mwanachama wa Kanisa la Kanisa la Yesu Kristo la Watakatifu wa Siku ya Mwisho (pia linajulikana kama kanisa la "Wamormoni").[14] Kwa sasa anaishi mjini Murray, Utah ambapo alimaliza elimu yake ya juu kwenye shule la Murray High School.[15] Archuleta ni mwanachama wa Boy Scouts of America.[16][17]

Archuleta started singing at age six, inspired by a Les Misérables video. "That musical is what started all of this", he said.[18] Aliaza kuimba mbele ya hadhara akiwa na umri wa miaka kumi kwenye Utah Talent Competition kwa kuimba wimbo wa "I Will Always Love You" wa Dolly Parton; alipokea makofi kutoka kwa watu wengi na kupelekea kushinda shindano hilo la watoto.

Archuleta alivutiwa sana kwa kuwatazama wasanii wawili ambao ni Tamyra Gray na Kelly Clarkson kwa kutazama nini wanachokifanya na kuanza kufanya kweli katika mashindano ya American Idol. Baadaye akaanza rasmi kuonekana kwenye televisheni kwa mara ya kwanza, akiwa na umri miaka kumi na moja, akiimba "And I Am Telling You I'm Not Going" kwenye kipindi cha The Jenny Jones Show kwa ajili nyota wa baadaye wa Latino pamoja na msimu wa kwanza wa American Idol alioibuka mshindi A.J. Gil.[19] Through A.J. Gil he was able to meet and sing for Gray who had sung the song on American Idol as well as Clarkson (that year's winner) and Justin Guarini (the runner up).[19][20]

Athira za kimuziki[hariri | hariri chanzo]

Star Search[hariri | hariri chanzo]

American Idol[hariri | hariri chanzo]

Diskografia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Archuleta, David (2003-2005). The official website of David Archuleta. KidActors. Jalada kutoka ya awali juu ya 2005-06-03. Iliwekwa mnamo 2008-02-28.
  2. David Archuleta Main | accessdate=2009-03-15.
  3. Archuleta in concert throws doubt on 'Idol' votes Archived 22 Aprili 2009 at the Wayback Machine. by MISHA DAVENPORT, Chicago Sun Times.
  4. Archuleta signed with Jive. Jive. Jalada kutoka ya awali juu ya 2008-08-20. Iliwekwa mnamo 2008-10-30.
  5. 5.0 5.1 Edson, Aaron. David Archuleta's album debuts. Meridian Magazine. Jalada kutoka ya awali juu ya 2009-01-26. Iliwekwa mnamo 2009-02-03.
  6. Hitilafu ya kutaja: Invalid <ref> tag; no text was provided for refs named Z100
  7. Rubin, Canaan (16 Septemba 2008). Behind the Music with David Archuleta. Entertainment Tonight. Jalada kutoka ya awali juu ya 2008-10-19. Iliwekwa mnamo 2008-10-30.
  8. American Idol News: David Archuleta's Debut Album. American Idol News (18 Septemba 2008). Iliwekwa mnamo 2008-10-30.
  9. Cohen, Jonathan. Taylor Swift Soars To No. 1 Debut. Billboard. Jalada kutoka ya awali juu ya 2012-10-23. Iliwekwa mnamo 19 Novemba 2008. (issue of 29 Novemba 2008).
  10. Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2009-03-23. Iliwekwa mnamo 2009-10-19.
  11. Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2009-08-24. Iliwekwa mnamo 2009-10-19.
  12. Archuleta, Jeff. Twitter update. 2009-05-25.
  13. Warburton, Nicole (18 Mei 2008). Friends knew Archuleta had talent. Desert News. Jalada kutoka ya awali juu ya 2009-01-08. Iliwekwa mnamo 2008-10-30.
  14. Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2009-10-07. Iliwekwa mnamo 2009-10-19.
  15. "Murray High teen moving up on 'Idol'", Associated Press, Desert News, 2008-02-15. Retrieved on 2008-10-30. Archived from the original on 2008-12-27. 
  16. Riddell, Brad (Novemba 2008). "Idol Thoughts". Boys' Life (Irving, TX: Boy Scouts of America): 30–31.  Check date values in: |date= (help)
  17. Boys Life Magazine. Boy Scouts of America (2008). Iliwekwa mnamo 2008-11-06.
  18. Introducing David Archuleta. American Idol (18 Februari 2008). Iliwekwa mnamo 2008-03-06.
  19. 19.0 19.1 Bronson, Fred (6 Mei 2008). Q & A: David Archuleta from American Idol. Billboard. Jalada kutoka ya awali juu ya 2008-06-09. Iliwekwa mnamo 2008-08-14.
  20. Dinh, Mai; Janet Murphy (2009). Celebrity Central: David Archuleta. People. Jalada kutoka ya awali juu ya 2009-02-03. Iliwekwa mnamo 2009-01-30.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu David Archuleta kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.