Papa Boniface I
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Boniface I alikuwa papa kuanzia 28 Desemba, 418 hadi kifo chake tarehe 4 Septemba, 422. Alimfuata Papa Zosimus.
[hariri] Viungo vya nje
Kuhusu Papa Boniface I katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki
| Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Boniface I kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
