Leipzig
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Leipzig | |||
| Picha ya ndege ya kitovu cha mji wa Leipzig | |||
|
|||
| Mahali pa mji wa Leipzig katika Ujerumani | |||
| Anwani ya kijiografia: 51°20′N 12°22′E / 51.333°N 12.367°E | |||
| Nchi | Ujerumani | ||
|---|---|---|---|
| Jimbo | Saksonia | ||
| Idadi ya wakazi | |||
| - Mji | 518.000 | ||
| Tovuti: www.leipzig.de | |||
Leipzig ni mji wa Saksonia nchini Ujerumani. Iko kando ya mto Saale. Idadi ya wakazi wake ni takriban 518,000. Mji ulianzishwa 1015.
Tazama pia[hariri]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
| Makala hii kuhusu maeneo ya Ujerumani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Leipzig kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |