Papa Damaso I

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Papa Damaso I

Papa Damaso I (takriban 30411 Desemba, 384) alikuwa papa kuanzia mwezi wa Oktoba 366 hadi kifo chake. Jina lake la kuzaliwa pia lilikuwa Damasus. Alimfuata Papa Liberius.

Mchango wake mkubwa zaidi ni kuthibitisha kanuni ya Biblia kama ilivyo hadi leo katika Kanisa Katoliki.

[hariri] Maandishi yake

[hariri] Marejeo

  • Chadwick, Henry. The Pelican History of the Church – 1: The Early Church. 
  • Walker, Williston. A History of the Christian Church. 

[hariri] Viungo vya nje

Pope.svg Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Damaso I kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine