Afrika ya Kaskazini
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Afrika Kaskazini)
Afrika ya Kaskazini ni kanda la kaskazini kwenye bara la Afrika. Kwa kwaida nchi za Afrika kaskazini ya jangwa Sahara huhesabiwa kuwa Afrika ya Kaskazini.
Kanda la Afrika ya Kakazini ya UM lina nchi saba zifuatazo:
|
Marejeo ya Nje [hariri]
External links [hariri]
- The North Africa Journal Analytical magazine
- North-of-Africa.com News and culture