19 Oktoba
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Sep - Oktoba - Nov | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | 31 | ||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Matukio [hariri]
Waliozaliwa [hariri]
- 1899 - Miguel Asturias (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1967)
- 1910 - Subrahmanyan Chandrasekhar (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia, mwaka wa 1983)
- 1916 - Jean Dausset, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1980
- 1922 - Elsa Joubert, mwandishi wa Afrika Kusini
- 1944 - Peter Tosh (mwanamuziki wa rege)
- 1968 - Fresh Jumbe, mwanamuziki kutoka Tanzania
Waliofariki [hariri]
- 1187 - Papa Urban III
- 1745 - Jonathan Swift (mwandishi)
- 1937 - Ernest Rutherford (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1908)