Papa Urban III

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Papa Urban III

Papa Urban III alikuwa papa kuanzia 25 Novemba, 1185 hadi kifo chake tarehe 19 Oktoba, 1187. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Uberto Crivelli. Alimfuata Papa Lucius III.

Pope.svg Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Urban III kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.