7 Oktoba
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Sep - Oktoba - Nov | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | 31 | ||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Matukio [hariri]
- *1708 - Guru Gobind Singh wa jumuiya ya Kalasinga anatangaza kitabu kitakatifu cha Adi Granth kama mfuasi wake kwa jina la Guru Granth Sahib
- 1949 - Kuundwa kwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kijerumani
Waliozaliwa [hariri]
- 1885 - Niels Bohr (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia, mwaka wa 1922)
- 1939 - Harold Kroto (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1996)
- 1950 - Jakaya Kikwete (Rais wa awamo ya nne wa Tanzania)
Waliofariki [hariri]
- 336 - Papa Marko
- 1967 - Norman Angell (mwandishi wa habari Mwingereza, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani, mwaka wa 1933)
- 1994 - Niels Jerne (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1984)