24 Machi
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Feb - Machi - Apr | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | 31 | ||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Matukio [hariri]
Waliozaliwa [hariri]
- 1884 - Peter Debye (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1936)
- 1903 - Adolf Butenandt (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1939)
- 1907 - Janet Bragg, rubani wa kike kutoka Marekani
- 1917 - John Kendrew (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1962)
- 1926 - Dario Fo (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1997)
- 1930 - Steve McQueen, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
Waliofariki [hariri]
- 1455 - Papa Nikolasi V
- 1993 – John Hersey, mwandishi wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer mwaka wa 1945
- 2002 - César Milstein (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1984)