20 Agosti
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Jul - Agosti - Sep | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | 31 | ||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Matukio [hariri]
Waliozaliwa [hariri]
- 1833 - Benjamin Harrison, Rais wa Marekani (1889-1893)
- 1901 - Salvatore Quasimodo (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1959)
- 1904 - Werner Forssmann (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1956)
- 1913 - Roger Sperry, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1981
- 1936 - Hideki Shirakawa, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2000
Waliofariki [hariri]
- 984 - Papa Yohane XIV
- 1823 - Papa Pius VII
- 1914 - Papa Pius X
- 1915 - Paul Ehrlich (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1908)
- 1917 - Adolf von Baeyer (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1905)
- 1961 - Percy Bridgman, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1946