Paul Ehrlich

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Paul Ehrlich
Tuzo Nobel.png

Paul Ehrlich (14 Machi, 185420 Agosti, 1915) alikuwa daktari na mwanakemia kutoka nchi ya Ujerumani. Pamoja na Sahachiro Hata aligundua dawa ya kutibu kaswende. Mwaka wa 1908, pamoja na Ilya Mechnikov alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.


Scientist.svg Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Paul Ehrlich kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine