Demi Lovato
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Demi Lovato |
|
|---|---|
|
|
|
| Jina la kuzaliwa | Demetria Devonne Lovato |
| Alizaliwa | 20 Agosti 1992 |
| Kazi yake | Mwigizaji Mwimbaji |
| Miaka ya kazi | 2002 - |
| Tovuti Rasmi | demilovato.com |
Demetria Devonne Lovato (amezaliwa 20 Agosti 1992) ni mwigizaji filamu na mwimbaji wa kike kutoka nchi ya Marekani. Alianza kuigiza filamu akiwa na umri wa miaka kumi tu. Baadaye akaanza kuimba pia katika bendi, na kutoa albamu kama Don't Forget, Here we go Again na Unbroken.
| Makala hii kuhusu mtu bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Demi Lovato kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |