17 Agosti
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Jul - Agosti - Sep | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | 31 | ||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Matukio [hariri]
- 1740 - Uchaguzi wa Papa Benedikto XIV
- 1945 - Nchi ya Indonesia inatanganza uhuru wake kutoka Uholanzi.
- 1960 - Nchi ya Gabon inapata uhuru kutoka Ufaransa.
Waliozaliwa [hariri]
- 1844 - Menelik II, mfalme mkuu wa Uhabeshi
- 1932 - Vidiadhar Naipaul (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 2001)
- 1932 - Abebe Bikila (mwanariadha Mhabeshi)
- 1941 - Ibrahim Babangida, Rais wa Nigeria (1985-1993)
- 1945 - Norbert Wendelin Mtega, askofu Mkatoliki nchini Tanzania
Waliofariki [hariri]
- 1969 - Otto Stern (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1943)
- 1982 - Ruth First, mwandishi wa Afrika Kusini