Ibrahim Babangida

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ibrahim Badamasi Babangida
Ibrahim Badamasi Babangida

Jenerali Ibrahim Badamasi Babangida (amezaliwa 17 Agosti, 1941), kiumaarufu anajulikana kama IBB, Alikuwa rais wa '8' pia alikuwa kiongozi wa kijeshi wa nchini Nigeria kuanzia mwezi wa Agosti mwaka 1985 hadi safari yake ilipofika ya kutoka ofisini kinguvu, Kutokana na msukumo mzito wa watu wenye kudai demokrasia ya kweli mnamo mwaka 1993, Baada ya kuanguka katika uchaguzi mkubwa uliofanyika mwaka huo. Uchaguzi huo ulikuwa wa huru na haki katika historia ya Nigeria toka wapate uhuru. Babangida alitanguliwa na rais Muhammadu Buhari, Kisha akafuatiwa na Ernest Shonekan.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ibrahim Babangida kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.