Norbert Wendelin Mtega
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Norbert Wendelin Mtega (amezaliwa 17 Agosti 1945) ni askofu Mkatoliki nchini Tanzania. Aliwekwa wakfu na Papa Yohane Paulo II mwaka wa 1986. Tangu mwaka wa 1992, ni askofu mkuu wa Jimbo Kuu la Songea.
Viungo vya nje [hariri]
| Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Norbert Wendelin Mtega kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |