1844
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ | Karne ya 18 | Karne ya 19 | Karne ya 20 | ►
◄ | Miaka ya 1810 | Miaka ya 1820 | Miaka ya 1830 | Miaka ya 1840 | Miaka ya 1850 | Miaka ya 1860 | Miaka ya 1870 | ►
◄◄ | ◄ | 1840 | 1841 | 1842 | 1843 | 1844 | 1845 | 1846 | 1847 | 1848 | ► | ►►
Makala hii inahusu mwaka 1844 BK (Baada ya Kristo).
Matukio [hariri]
Waliozaliwa [hariri]
| Kalenda ya Gregori | 1844 MDCCCXLIV |
| Kalenda ya Kiyahudi | 5604 – 5605 |
| Kalenda ya Ethiopia | 1836 – 1837 |
| Kalenda ya Kiarmenia | 1293 ԹՎ ՌՄՂԳ |
| Kalenda ya Kiislamu | 1260 – 1261 |
| Kalenda ya Kiajemi | 1222 – 1223 |
| Kalenda ya Kihindu | |
| - Vikram Samvat | 1899 – 1900 |
| - Shaka Samvat | 1766 – 1767 |
| - Kali Yuga | 4945 – 4946 |
| Kalenda ya Kichina | 4540 – 4541 癸卯 – 甲辰 |
- 16 Aprili - Anatole France (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1921)
- 7 Julai - Camillo Golgi (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1906)
- 12 Agosti - Muhammad Ahmad ibn Abd Allah atakayeitwa Al-Mahdi nchini Sudan
- 17 Agosti - Menelik II, mfalme mkuu wa Uhabeshi
- 23 Oktoba - Sarah Bernhardt, mwigizaji tamthilia kutoka Ufaransa
- 27 Oktoba - Klas Pontus Arnoldson (mwanasiasa Msweden, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1908)
- 25 Novemba - Karl Friedrich Benz (mhandisi Mjerumani na mtengenezaji motokaa)
Waliofariki [hariri]
- 27 Juni - Joseph Smith, Kijana, mwanzilishi wa Umormoni aliuawa
Wikimedia Commons ina media kuhusu: