Percy Bridgman

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tuzo Nobel.png

Percy Williams Bridgman (21 Aprili, 188220 Agosti, 1961) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza sifa za halijoto na kanieneo. Mwaka wa 1946 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Scientist.svg Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Percy Bridgman kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.