Salvatore Quasimodo
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Salvatore Quasimodo (20 Agosti 1901 – 14 Juni 1968) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Italia. Hasa aliandika mashairi. Pia alitafsiri tamthiliya na mashairi katika Kiitalia kutoka lugha nyingine. Mwaka wa 1959 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.
| Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Salvatore Quasimodo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |