Napoli
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Napoli | |
| Mlima wa Vesuvio nyuma ya mji wa Napoli | |
| Mahali pa Napoli katika Italia | |
| Anwani ya kijiografia: 40°50′00″N 14°15′00″E / 40.833333°N 14.25°E | |
| Nchi | Italia |
|---|---|
| Mkoa | Campania |
| Wilaya | Napoli |
| Idadi ya wakazi | |
| - Mji | 963,357 |
| Tovuti: http://www.comune.napoli.it/ | |
Napoli (pia: Naples) ni mji wa bandari kando la bahari ya Mediteranea katika Italia ya kusini. Idadi ya wakazi ni mnamo milioni 1. Ni mji wa kale sana na jina la "Napoli" ni umbo la Kiitalia la "Neapolis" iliyokuwa jina asilia ya Kigiriki. Maana mji huu ulianzishwa na Wagiriki wa Kale mnamo karne ya 6 KK. Jina la Kigiriki ina maana ya "mji mpya".
Mji uko kando la mlima wa volkeno wa Vesuvio. Wataalamu wengine wanaona hatari ya mlipuko wa karibuni unaoweza kuharibu sehemu za mji.
Viungo vya nje [hariri]
- (Kiitalia) Tovuti rasmi
| Makala hii kuhusu maeneo ya Italia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Napoli kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |