Adolf von Baeyer

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tuzo Nobel.png
Adolf von Baeyer

Adolf von Baeyer (31 Oktoba, 183520 Agosti, 1917) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Ujerumani. Mwaka wa 1880 alifaulu kusanisi nili na kuendelea kuichunguza. Mwaka wa 1905 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

Scientist.svg Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Adolf von Baeyer kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.