1868
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ | Karne ya 18 | Karne ya 19 | Karne ya 20 | ►
◄ | Miaka ya 1830 | Miaka ya 1840 | Miaka ya 1850 | Miaka ya 1860 | Miaka ya 1870 | Miaka ya 1880 | Miaka ya 1890 | ►
◄◄ | ◄ | 1864 | 1865 | 1866 | 1867 | 1868 | 1869 | 1870 | 1871 | 1872 | ► | ►►
Makala hii inahusu mwaka 1868 BK (Baada ya Kristo).
Matukio [hariri]
- 11 Juni - Tekle Giyorgis II alitangazwa kuwa mfalme mkuu wa Uhabeshi.
- 10 Oktoba - Nchi ya Kuba inapata uhuru kutoka Hispania.
Waliozaliwa [hariri]
| Kalenda ya Gregori | 1868 MDCCCLXVIII |
| Kalenda ya Kiyahudi | 5628 – 5629 |
| Kalenda ya Ethiopia | 1860 – 1861 |
| Kalenda ya Kiarmenia | 1317 ԹՎ ՌՅԺԷ |
| Kalenda ya Kiislamu | 1285 – 1286 |
| Kalenda ya Kiajemi | 1246 – 1247 |
| Kalenda ya Kihindu | |
| - Vikram Samvat | 1923 – 1924 |
| - Shaka Samvat | 1790 – 1791 |
| - Kali Yuga | 4969 – 4970 |
| Kalenda ya Kichina | 4564 – 4565 丁卯 – 戊辰 |
- 31 Januari - Theodore William Richards (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1914)
- 22 Machi - Robert Millikan (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1923)
- 14 Juni - Karl Landsteiner (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1930)
- 9 Desemba - Fritz Haber (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1918)
Waliofariki [hariri]
- 3 Aprili - Franz Berwald, mtunzi wa muziki kutoka Uswidi
- 13 Aprili - Tewodros II, Mfalme Mkuu wa Uhabeshi
- 1 Juni - James Buchanan, Rais wa Marekani (1857-1861)
Wikimedia Commons ina media kuhusu: