11 Juni
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Mei - Juni - Jul | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | |||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Matukio [hariri]
- 1868 - Tekle Giyorgis II alitangazwa kuwa mfalme mkuu wa Uhabeshi.
Waliozaliwa [hariri]
- 1899 - Yasunari Kawabata (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1968)
- 1925 - William Styron (mwandishi Mmarekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer mwaka wa 1968)
- 1932 - Athol Fugard, mwandishi wa Afrika Kusini
- 1964 - Jean Garcia, muigizaji wa tamthiliya