1 Juni
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Mei - Juni - Jul | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | |||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Matukio [hariri]
Waliozaliwa [hariri]
- 1801 - Brigham Young, kiongozi wa Umormoni
- 1804 - Mikhail Glinka, mtunzi wa muziki kutoka Urusi
- 1917 - William Knowles, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2001
- 1926 - Marilyn Monroe, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1937 - Morgan Freeman, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1955 - Chiyonofuji Mitsugu, mwanamwereka wa Japani
- 1977 - Sarah Wayne Callies, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
Waliofariki [hariri]
- 193 - Didius Julianus, Kaisari wa Roma (193)
- 657 - Papa Eugenio I
- 1841 - Nicolas Appert, Mfaransa
- 1846 - Papa Gregori XVI
- 1868 - James Buchanan, Rais wa Marekani (1857-1861)
- 1968 - Helen Keller, mwandishi asiyeona wala kusikia kutoka nchini Marekani
- 1979 - Werner Forssmann (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1956)