Marilyn Monroe
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Marilyn Monroe (alizaliwa tar. 1 Juni, 1926 – 5 Agosti , 1962) alikuwa mwigizaji wa filamu, mwimbaji na mwanamitindo kutoka nchini Marekani. Alikuwa miongoni mwa nyota wa filamu maarufu kati ya mwaka 1950 na 1960.
[hariri] Maisha ya ndoa ya Marilyn Monroe
| Mume | Ameolewa | Katarikiwa |
|---|---|---|
| James Dougherty | 19 Juni, 1942 | 13 Septemba, 1946 |
| Joe DiMaggio | 14 Januari, 1954 | 27 Oktoba, 1954 |
| Arthur Miller | 29 Juni, 1956 | 20 Januari, 1961 |
[hariri] Viungo vya nje
- Tovuti rasmi ya Marilyn Monroe
- The Marilyn Monroe Collection
- Marilyn Remembered Fan Club
- The Forever Marilyn Fan Club
- Marilyn Monroe's 1952 interview with Parade
- Marilyn Monroe kwenye Internet Movie Database
- Marilyn Monroe katika TCM Movie Database
- [1] Virtual Tour of Marilyn Monroe's Brentwood Hacienda
- Marilyn Monroe's grave site
- Marilyn Monroe, Frank Sinatra, Joe DiMaggio and the 1954 "Wrong Door Raid."
- Images taken at Niagara Falls during the filming of the movie Niagara Niagara Falls Public Library (Ont.)
- Marilyn Monroe Collectibles Feature
- Married to Marilyn kimeandikwa na Norman Mailer kwenye The New York Review of Books
- New York Times, August 6, 1962
| Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Marilyn Monroe kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |