22 Juni
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Mei - Juni - Jul | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | |||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Tarehe 22 Juni ni sikukuu ya Mtakatifu Paulino wa Nola.
Matukio [hariri]
Waliozaliwa [hariri]
- 1887 - Julian Huxley (mwanabiolojia, na mkurugenzi wa kwanza wa UNESCO)
- 1965 - Uwe Boll, mtayarishaji wa filamu kutoka Ujerumani
Waliofariki [hariri]
- 431 - Mtakatifu Paulino wa Nola
- 1276 - Papa Innocent V
- 1535 - John Fisher (padre Mkatoliki, mfiadini na Mtakatifu)
- 1962 - Shaaban Robert (mshairi maarufu wa Tanzania)
- 1990 - Ilya Frank (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1958)
Wikimedia Commons ina media kuhusu: