Ilya Frank

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ilya Frank

Ilya Mikhaylovich Frank (23 Oktoba 190822 Juni 1990) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Urusi. Hasa alichunguza uhusiano kati ya elektroni na nuru. Mwaka wa 1958, pamoja na Igor Tamm na Pavel Cherenkov alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.


Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ilya Frank kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.