Uwe Boll
| Uwe Boll |
|
|---|---|
|
|
|
| Jina la kuzaliwa | Uwe Boll |
| Alizaliwa | 22 Juni, 1965 Ujerumani |
| Kazi yake | Mwongozaji Mtayarishaji |
Uwe Boll (amezaliwa tar. 22 Juni, 1965 mjini Wermelskirchen/Remscheid) ni mwongozaji, mtayarishaji na mwandishi wa script za filamu wa Kijerumani. Filamu zake zilizonyingi huwa zinatoka na mwenendo wa video gemu, yaani anatoa kutokana na mwenendo wa video gemu vile ilivyo na kuitengenezea filamu. Huenda akawa anafahamika kwa kuiongoza filamu ya Bloodrayne na House of the Dead na German Fried Movie.
Huyu yupo tofauti sana na waongozaji wengi filamu wa Kimarekani, ambao wanapokea fedha kutoka katika mradi wa filamu wa Hollywood, yeye kama yeye anamiliki mradi wake binafsi uitwao Boll KG production company ambao unaongoza na kutayarisha filamu. Boll alipata elimu yake ya Chuo katika Chuo Kikuu cha Köln na baadaye katika Siegen (chuo kikuu pia), na akachukua digrii yake udaktari katika fasihi.
Yaliyomo |
[hariri] Filamu
[hariri] Filamu za kawaida
- German Fried Movie
- Amoklauf
- Barschel
- Mord in Genf?
- Erste Semester, Das
- Sanctimony
- Blackwoods
- Heart of America
- Seed
[hariri] Filamu zinazotokana na video gemu
- House of the Dead
- Alone in the Dark
- BloodRayne
- BloodRayne II
- In the Name of the King
- Postal
- Far Cry
[hariri] Marejeo
- http://www.bloody-disgusting.com/feature/408
- http://boxofficemojo.com/movies/?id=houseofthedead.htm
- http://boxofficemojo.com/movies/?id=aloneinthedark.htm
- http://boxofficemojo.com/movies/?id=bloodrayne.htm
- http://www.cinemablend.com/features/Uwe-Boll-Money-For-Nothing-209.html
- http://www.metacritic.com/film/titles/aloneinthedark?q=alone%20in%20the%20dark
[hariri] Viungo vya nje
- Official Website of Boll's Production Company, BOLL KG
- Uwe Boll kwenye Internet Movie Database
- Uwe Boll at Rotten Tomatoes
- A3UPodcast.com Interview Podcast Interview With Boll
- Golden Palace Events - Photos, video, and details of Uwe's September 2006 boxing match with his critics
- Boll Bashers A comprehensive website on Boll
- Interview with Uwe Boll at Creature Corner
- Dinner With Uwe - IGN's four-part video interview
- Interview with Uwe Boll at The Globe & Mail
- Boll to brawl critics onscreen in Postal movie? at GameSpot News
- Interview - Now Playing magazine
- Uwe on UGO.com - Uwe Boll wants to make a sequel to Schindler's List
| Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Uwe Boll kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |