James Buchanan
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
James Buchanan (23 Aprili 1791 – 1 Juni 1868) alikuwa Rais wa 15 wa Marekani kuanzia mwaka wa 1857 hadi 1861. Kaimu Rais wake alikuwa John Breckinridge.
Tazamia pia [hariri]
| Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu James Buchanan kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |