Theodore Roosevelt
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Theodore Roosevelt (27 Oktoba, 1858 – 6 Januari, 1919) alikuwa mwanasiasa kutoka nchi ya Marekani. Miaka ya 1901 hadi 1909 alikuwa Rais wa kumi na ishirini na sita wa Marekani. Mwaka wa 1906 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani. Alikuwa Kiongozi wa chama cha kisiasa cha kijamhuri na mwanzilishi wa chama cha kisiasa cha Progressive cha 1912 ambacho hakikudumu.
| Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Theodore Roosevelt kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |