Richard Nixon
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Richard Milhous Nixon (9 Januari, 1913 – 22 Aprili, 1994) alikuwa Rais wa 37 wa Marekani kuanzia mwaka wa 1969 hadi 1974. Kaimu Rais wake alikuwa kwanza Spiro Agnew (1969-73), na halafu Gerald Ford aliyemfuata kama Rais, Nixon alipojiuzulu madarakani.Nixon alikuwa ni rahisi pekee wa Marekani ambaye ali ng'atuka na aliye wahi kuchaguliwa mara mbili kwenye nafasi za Uraisi na Umakamo rais, by Arthur Kaluwa
[hariri] Tazamia pia
| Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Richard Nixon kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |