Rutherford B. Hayes
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rutherford Birchard Hayes (4 Oktoba 1822 – 17 Januari 1893) alikuwa Rais wa 19 wa Marekani kuanzia mwaka wa 1877 hadi 1881. Kaimu Rais wake alikuwa William Wheeler.
Tazamia pia [hariri]
| Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Rutherford B. Hayes kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |