John Breckinridge
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
John Cabell Breckinridge (21 Januari 1821 – 17 Mei 1875) alikuwa Kaimu Rais wa Marekani chini ya Rais James Buchanan kuanzia mwaka wa 1857 hadi 1861.
| Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu John Breckinridge kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |