Theodor Svedberg

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tuzo Nobel.png
Theodor Svedberg

Theodor Svedberg (30 Agosti, 188426 Februari, 1971) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Sweden. Baadhi ya uchunguzi mwingi aliunda aina ya mashinepewa. Pia alitafiti mada za fizikia ya kiini. Mwaka wa 1926 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

Scientist.svg Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Theodor Svedberg kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.