Wilhelm Wien

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Wilhelm Wien (1911)
WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:


Wilhelm Wien (13 Januari 186430 Agosti 1928) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Ujerumani. Hasa alichunguza mambo ya mnururisho. Mwaka wa 1911 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wilhelm Wien kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.