Roza Eluvathingal

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kitanda alipofariki, sasa katika ukumbusho.

Roza Eluvathingal (jina la kitawa: Eufrasia wa Moyo Mtakatifu wa Yesu; Kattoor, Kerala, 17 Oktoba 1877 - Ollur, 29 Agosti 1952) alikuwa mtawa Mkarmeli wa Kanisa Katoliki la Kisiria la Malabar nchini India.

Alitangazwa mwenye heri na askofu mkuu kabisa wa Kanisa hilo, Varkey Vithayathil, tarehe 3 Desemba 2006 akatangazwa mtakatifu na Papa Fransisko tarehe 23 Novemba 2014.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake[1].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Garhika Sabhayude Pravachika (Malayalam) by Mother Mariam
  • Sr. Pastor, CMC, Athmadaham (Malayalam): The spirituality of the Servant of God Mother Euphrasia (Thrissur : 1998)
  • Sr. Leo, CMC, (Trans), Servant of God Mother Euphrasia (Kolazhy, Thrissur: 1998)
  • Mgr. Thomas Moothedan, A Short Life of Sr. Mariam Thresia (Mannuthy: 1977)
  • Fr. J. Ephrem, C.R., The Praying Mother. Trans. C.A. Regina (Kolazhy, Thrissur: 1999)
  • Dr. Sr. Cleopatra, CMC: The twin roses of Trichur: The servants of god Mariam Thresia and Euphrasia
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.