Louis Althusser
Louis Pierre Althusser (matamshi ya Kifaransa kwa IPA: altyˈsɛʁ; 16 Oktoba 1918 – 22 Oktoba 1990) alikuwa ni mwanafalsafa wa itikadi za Kisoshalisti za Karl Marx kutoka nchi ya Ufaransa. Alizaliwa nchini Algeria na kusoma katika chuo cha École Normale Supérieure kilichopo katika jiji la Paris lililopo nchini Ufaransa, ambapo hatimaye alikuwa Mwanafilosofia. Althusser alikuwa ni mwanachama wa muda mrefu wa chama cha French Communist Party, ingawa wakati mwingine alikuwa akipingana sana na mfumo wa kikomunisti wa nchini Urafansa. Hoja zake kuu zilikuwa zikijengwa katika misingi ya kuhofia nadharia na misingi ya mfumo wa Marxist. Hizi zikiwa ni pamoja na kuhofia kutokea kwa mgawanyiko katika vyama vya siasa vya kikomunisti vya Ulaya.
Maisha ya Althusser yamekuwa yakihusishwa na matukio ya kusikitisha ikiwa ni pamoja na kupatwa na matatizo ya akili, ambapo katika moja ya milipuko ya ugonjwa huo, Althusser alimuua mke wake kwa kumyonga.
Yaliyomo |
Bibliografia [hariri]
- Original works in English translation
- Lenin and Philosophy and Other Essays. (Online version)
- For Marx. (Online version)
- Reading Capital (with Étienne Balibar, Pierre Macherey, etc.). (Online version)
- The Spectre of Hegel: Early Writings. ed. François Matheron; trans. G. M. Goshgarian. London: Verso, 1997.
- Essays in Self-Criticism. (Online version)
- Philosophy and the Spontaneous Philosophy of the Scientists. (Online version)
- Machiavelli and Us.
- Politics and History. (Online version)
- The Humanist Controversy and Other Texts.
- Writings on Psychoanalysis.
- The Future Lasts Forever: A Memoir (Extract in Critical Inquiry)
- Philosophy of the Encounter: Later Writings, 1978-1987, trans. and ed. G.M. Goshgarian, Verso, 2006.
- Baadhi ya makala zilizo katika tafsiri
- “Our Jean-Jacques Rousseau”. TELOS 44 (Summer 1980). New York: Telos Press
Masomo zaidi [hariri]
- Althusser: A Critical Reader (ed. Gregory Elliott).
- Anderson, Perry, Considerations on Western Marxism
- Callinicos, Alex, Althusser's Marxism (London: Pluto Press, 1976).
- Elliott, Gregory, Althusser: The Detour of Theory by (New York: Verso, 1987); (republished by Haymarket Books, 2009)
- Ferretter, Luke, "Louis Althusser" (London and New York: Routledge, 2006)
- James, Susan, 'Louis Althusser' in Skinner, Q. (ed.) The Return of Grand Theory in the Human Sciences
- Judt, Tony, "The Paris Strangler," in The New Republic, Vol. 210, No. 10, 7 Machi 1994, pp. 33–7.
- Waters, Malcolm, Modern Sociological Theory, 1994, page 116.
- Lewis, William, Louis Althusser and the Traditions of French Marxism. Lexington books, 2005. (link)
- McInerney, David (ed.), Althusser & Us, special issue of borderlands e-journal, Oktoba 2005. (link)
- Warren Montag, Louis Althusser, Palgrave-Macmillan, 2003.
- Resch, Robert Paul. Althusser and the Renewal of Marxist Social Theory. Berkeley: University of California Press, c1992. (link)
- Elisabeth Roudinesco, Philosophy in Turbulent Times: Canguilhem, Sartre, Foucault, Althusser, Deleuze, Derrida, Columbia University Press, New York, 2008.
- Heartfield, James, The ‘Death of the Subject’ Explained, Sheffield Hallam UP, 2002 [1]
- Lahtinen, Mikko, "Politics and Philosophy: Niccolò Machiavelli and Louis Althusser's Aleatory Materialism", Brill, 2009 (forthcoming in paperback via Haymarket, 2011).
- Thomas, Peter D., "The Gramscian Moment: Philosophy, Hegemony and Marxism", Brill, 2009 (forthcoming in paperback via Haymarket, 2011).
Viunga vya nje [hariri]
- The Louis Althusser Internet Archive at Marxists.org
- Louis Althusser (Stanford Encyclopedia of Philosophy)
- Texts by or on Althusser at Generation-Online
- Texts on Althusser on the site of the Sorbonne Marx Seminar
- Texts from Althusser & texts about him - in French on Multitudes website.
- Décalages: An Althusser Studies Journal
- (Kifaransa) Le récit autofictionnel L’avenir dure longtemps de Louis Althusser. Manipuler pour mieux pouvoir (s’)expliquer.
Endnotes [hariri]
- ↑ James Heartfield (1980-12-19). Postmodernism and the 'Death of the Subject' by James Heartfield. Marxists.org. Rudishwa juu ya 2011-06-18.
[[ja:ƒ‹ƒCEƒAƒ‹ƒ`ƒ…ƒZ[ƒ‹]]