Papa Celestino III

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Papa Celestino III

Papa Celestino III (takriban 11068 Januari, 1198) alikuwa papa kuanzia 30 Machi, 1191 hadi kifo chake. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Giacinto Bobone. Alimfuata Papa Klementi III.

Pope.svg Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Celestino III kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.