Aleksander Prokhorov

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Aleksander Prokhorov

Aleksander Mikhailovich Prokhorov (11 Julai 19168 Januari 2002) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Urusi. Hasa alichunguza mionzi ya aina mbalimbali na kuvumbua leza. Mwaka wa 1964, pamoja na Nikolai Basov na Charles Townes alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.


Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Aleksander Prokhorov kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.