Nakamikado

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Nakamikado (14 Januari, 170210 Mei, 1737) alikuwa mfalme mkuu wa 114 (Tenno) wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Yasuhito. Tarehe 27 Julai, 1709 alimfuata baba yake, Higashiyama, na kuwa mfalme hadi kujiuzulu tarehe 13 Aprili, 1735. Aliyemfuata ni mwana wake, Sakuramachi.

Imperial Seal of Japan.svg Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Japani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nakamikado kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine