Higashiyama
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Higashiyama (21 Oktoba, 1675 – 16 Januari, 1710) alikuwa mfalme mkuu wa 113 (Tenno) wa Japani. Tarehe 6 Mei, 1687 alimfuata mfalme mkuu Reigen, na kuwa mfalme hadi kujiuzulu tarehe 27 Julai, 1709. Aliyemfuata ni mwana wake, Nakamikado.
| Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Japani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Higashiyama kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |