Reigen
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Reigen (9 Julai, 1654 – 24 Septemba, 1732) alikuwa mfalme mkuu wa 112 (Tenno) wa Japani. Baba yake alikuwa mfalme mkuu Go-Mizunoo. Tarehe 5 Machi, 1663 alimfuata mfalme mkuu Go-Sai, na kuwa mfalme hadi kujiuzulu tarehe 2 Mei, 1687. Mwaka wa 1713 akawa mtawa wa Buddha. Aliyemfuata kama mfalme ni mwana wake Higashiyama.
| Makala hiyo kuhusu "Reigen" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Reigen kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |

