6 Mei
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Apr - Mei - Jun | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | 31 | ||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Matukio [hariri]
Waliozaliwa [hariri]
- 1501 - Papa Marcello II
- 1574 - Papa Innocent X
- 1871 - Victor Grignard (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1912)
- 1904 - Harry Martinson (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1974)
- 1945 - Peter Mahamudu Msolla, mwanasiasa wa Tanzania
- 1965 - Leslie Hope, mwigizaji filamu kutoka Kanada
- 1985 - Faraja Kotta, Mrembo wa Tanzania mwaka wa 2004
Waliofariki [hariri]
- 1825 - Lady Anne Barnard, mwandishi wa kike wa Uskoti na Afrika Kusini
- 1859 - Alexander von Humboldt, mpelelezi na mwanasayansi kutoka Ujerumani
- 1952 - Maria Montessori
- 1992 - Marlene Dietrich, mwigizaji filamu na mwimbaji kutoka Ujerumani