Anne Barnard

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Lady Anne Barnard (12 Desemba, 1750 - 6 Mei, 1825) alikuwa mwandishi wa Uskoti. Alikaa mjini Cape Town, Afrika Kusini, kwa miaka mitano, 1797-1802. Barua zake wakati huo ni chanzo muhimu kuhusu maisha nchini Afrika Kusini.

[hariri] Angalia pia

[hariri] Marejeo

  • Chapman, Michael. 2003. Southern African Literatures, University of Natal Press. ISBN 1-86914-028-1
People.svg Makala hii kuhusu mtu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Anne Barnard kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine